Pakua bure app ya
Pata punguzo la asilimia 20 kwa uhifadhi wako wa kwanza utakaofanya kwa kutumia app ya
Na alama ya siri APP10
Unahitaji kujua kuhusu madili na ofa zetu? Jiunge na kijarida chetu kujua yanayojiri ndani ya Jumia Travel!
Tafuta na uhifadhi chumba na Travel.jumia.com tovuti ya kuhifadhi vyumba vya hoteli mtandaoni - Huna uhakika ni kipi cha kuchagua au una wasi wasi wa kupata mahali pa kupumzika ukiwa safarini? Tuna zaidi ya hotel 200,000 kote duniani unazoweza kuchagua! Travel.jumia.com inakupa chaguo bora kote katika bara la Afrika na la Asia sawia na mahitaji yako kwa safari ya kibiashara au ya mapumziko. Tunakuhakikishia bei nafuu kwa hoteli zote! Hakuna gharama ya uhifadhi!
Ni Rahisi Kuhifadhi Chumba - Unashangaa jinsi ya kupata hoteli za bei nafuu kupitia mtandao? Kwenye mtandao wa kuhifadhi hotel wa Jumia Travel unatakiwa kujaza eneo la nchi/bara unapotaka kwenda, na utaona orodha ya hoteli zilizopo kwenye eneo husika. Tafuta hotel maarufu, hoteli inayaokupendeza, angalia dili bomba na uhifadhi mtandaoni! Je unahitaji hoteli yenye nyota 5 Nigeria pekee? Je unahitaji hoteli au hosteli za bajeti ya chini au nyumba ya kulala wageni Pakistani? Au kambi za kifahari Kenya? Usijali, unaweza tumia machungio yetu kupata hoteli kulingana na bei au upimo wa nyota. Bonyeza hoteli za bei nafuu halafu nenda moja kwa moja kwenye ukurasa wa maelezo ya kina kuhusu hoteli husika, tazama ofa zinazotolewa, angalia picha za hoteli, halafu uhifadhi. Na ufurahie kisha ulipe utakapofika.
Bei nafuu, uhifadhi wa dakika za mwisho madili na mapunguzo - Unahitaji hoteli usiku wa leo? Hata ukifanya uamuzi wa kuhifadhi chumba katika dakika za mwisho, chagua aina ya chumba unachokitaka na ubonyeze hifadhi sasa. Unapohifadhi hoteli kupitia Jumia Travel unapata bei nzuri na mapunguzo mbalimbali.
Tuna timu kubwa katika nchi mbalimbali na wanazifahamu hoteli zote zilizopo Jumia Travel. Hivyo unachokiona ndicho kilichopo! Wataalam wetu wa huduma kwa wateja wako tayari kukusaidia pale utakapohitaji taarifa au uhakika wa taarifa kuhusu hoteli fulani, huduma au uhifadhi wako.
Hifadhi Kisha Lipa Baadae - Hifadhi hoteli leo na uchague kulipa moja kwa moja mtandaoni au baadaye utakapowasili hotelini. Furahia uhuru wa kulipa sasa au baadaye kwenye hoteli nyingi za kiafrika na kiasia hata bila ya kadi ya benki. Usilipe kama hujapumzika hotelini! Lipa utakapokua ukitoka hotelini, kwa sarafu ya nchi husika.
Iwapo unataka kuhifadhi likizo yako wewe na mpenzio, kwa uhakika Jumia Travel itakupa hoteli ya kifahari popote Afrika. Vilevile, Jumia Travel ina hoteli za kawaida za kupumzika baada ya safari za kibiashara.
Kwa uhakika maoni yako baada ya maakazi hotelini yatapokelewa na kushughulikiwa; iwapo pana hitilafu yoyote tuko tayari kurekebisha.
Read more