Ijue Dar es salaam
Dar es salaam ni jiji mashuhuri nchini Tanzania, pia ni jiji mashuhuri la kibiashara na ni kitovu cha usafiri. Dar es salaam ni lango kuu la wageni wanaotembelea Zanzibar na pori la Selous.
Dar es salaam ina wazungumzaji wengi sana wa Kiswahili duniani nzima. Usanifu wa majengo wa mji wa Dar es salaam ni mchanganyiko wa tamaduni za Kiafrika, Kiarabu, Kihindi na Kijerumani. Wilaya za Jiji hili ni pamoja na Ilala, Kinondoni na Temeke.
Hoteli Nzuri ndani ya Dar es salaam
Pata hoteli nzuri ndani ya Dar es salaam zinazokidhi mahitaji ya wasafiri wa aina zote. Utapata hoteli za gharama nafuu zinazokidhi mahitaji ya wasafiri wa kibiashara . Hoteli zote zinahakikisha wageni wanapata huduma bura kabisa.
Hoteli zote za Dar es salaam Tanzania zina vifaa vya kisasa kama vile viyoyozi, luninga mabwawa ya kuogolea, Huduma za mitandao WiFi na migahawa. Hoteli zingine zipo karibu kabisa na maeneo ya vivutio kama vile Soko la vinyago la Mwenge na Penisula ya Msasani ni baadhi tu ya maeneo.
Hoteli nzuri za gharama nafuu ndani ya Dar es salaam
Kama una bajeti ya gharama nafuu, Hoteli za unafuu na zenye vifaa na huduma nzuri zipo ndani ya Dar es salaam. Punguza gharama zako za malazi kwa punguzo na dili kabambe zinazotolewa na hoteli mbalimbali ndani ya Dar es salaam zilizopo nadnin ya Jovago.
Hoteli hizi zinajitahidi kukupa wakati mzuri wa kuishi kwa gharama nafuu. Baadhi ya hoteli za gharama nafuu ni pamoja na Jangwani Sea Breeze Resort, Tanzanite Executive Suites na Landmark Hotel &Reosrt.
Licha ya hoteli za gharama nafuu, Dar es salaam ina hoteli nyingi zilizosambaa ndani ya jiji zima pia kuna hoteli nzuri kwaajili ya wanafunzi kama ile Friemdly Gecko na Eazy’s Place hizi hutoa malazi mazuri kwa gharama nafuu sana.
Hoteli za kibiashara ndani ya Dar es salaam
Tanzania ina kumbi nyingi sana za mikutano zinazoambatana na vifaa bomba vya sauti na video pia kuna wataalamu wa kutosha wa uandaaji wa matamasha. Baadhi ya hoteli za kibiashara zipo karibu na Uwanja wa ndege kama vile Naam Suite Hotel, Airport Transit Lodge
Hoteli Mashuhuri za Kifahari Dar es salaam
Jiji la Dar es salaam liko pembezoni mwa bahari ya Hindi, hivyo basi fukwe hizi zimezungukwa na hoteli za nyota 4&5. Hifadhi hoteli mashuhuri za kifahari ndani ya jiji la Dar es salaam. Kama vile White Sand Hotel and Resort na Double tree by Hilton Dar es salaam hoteli hizi zenye hadhi ya nyota 5 zinakupa mandhari nzuri ya bahari ya Hindi.
Hoteli nzuri za ufukweni ndani ya Dar es salaam
Furahi mapumziko yako ndani ya fukwe za bahari jijini Dar es salaam. Hoteli hizi hutoa huduma jumuishi yaani malzi na chakula kwa bei nzuri sana. Tumechagua hoteli chahce zinazokubali uhifadhi wa dakika za mwisho pia. Hoteli hizi ni nzuri kwa mapumziko ya kifamilia, kirafiki na pia fungate
Baadhi ya hoteli hizi nin pamopja na Kunduchi Beah Resort, Best Western Coral Beach Hote, Hotel South Beach and Beachcomber Hotel & Resort
Hifadhi hoteli nzuri jijini Dar es salaam kupitia Jovago, utaona maoni picha na linganisha bei. Unaweza kuokoa kiasi kikubwa cha pesa kwa hoteli zilizopo ndani ya Dar es salaam unapohifadhi na Jovago. Hifadhi sasa lipia baadae kwa hoteli nyingi.
Nini cha kufanya ndani ya Dar es salaam
Kuna vivutio vingi ndani ya Dar es salaam kama vile Sanamu ya Askari, Makumbusho ya taifa Mnara wa uhuru Fukwe visiwa vya Bongoyo na Mbudya ni baadhi tu ya maeneo ya kutembelea ndani ya Dar es salaam
Read more